Tag Archives: Mtoto atuhumiwa kumuuwa baba yake

Mtoto atuhumiwa kumuuwa baba yake Ludewa

Mzee Jonaidi Haule (72) mkazi wa Mawengi wilayani Ludewa Mkoani Njombe amesababishiwa kifo kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali na mwanae kutokana na ugomvi wa kifamilia. Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa amesema baada ya ugomvi kuibuka na kusababisha hali ya kuto kuelewana kati ya mtoto na …

Read More »