Tag Archives: Mtibwa

Mtibwa,Azam walikuwa wanakutana na vibonde

UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa kikubwa ambacho kinawabeba ndani ya uwanja ni juhudi na kujituma kwa wachezaji wao matokeo mabaya ilikuwa ni mpito kwao.   Imekuwa ya kwanza kuitungua Klabu ya Azam FC kwa msimu wa 2020/21 ambayo ilicheza mechi saba bila kupoteza ambapo umeweka bayana kuwa wapinzani wao …

Read More »