Tag Archives: msamaha

Wafungwa 96 Mkoani Songwe Wapata Msamaha Wa Rais

Wafungwa 96 Mkoani Songwe wamekuwa miongoni mwa wafungwa Zaidi ya 5000 waliopatiwa msamaha wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kufuatia maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika yaliyofanyika jana jijini Mwanza. Mapema leo Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela amefika …

Read More »