Tag Archives: msalala

KAHAMA:Jamii yaaswa kuwaogesha mabinti dawa ya Mvuto “Nsamba”

JAMII katika Kanda ya Ziwa,imekemewa juu ya dhana potofu ya kuwaogesha dawa za mvuto wa mapenzi “ Nsamba”,watoto wao wa kike kwakuwa tabia hiyo inachangia uwepo wa ndoa na mimba za utotoni na kusababisha kukatisha masomo kwa mabinti zao. Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Msalala,wilayani Kahama,Neema Katengesya,alikemea tabia …

Read More »