Tag Archives: mr kuku

Kesi Ya Mr Kuku Yapigwa Kalenda

Mfanyabiashara,  Tariq Machibya (29) maarufu ‘Mr Kuku’, anaendelea kusota gerezani kwa tuhuma mbalimbali, ikiwemo kutakatisha Sh bilioni 17 kwa kuendesha biashara ya upatu bila leseni. Kesi hiyo ilikuja jana kwa ajili ya kutajwa mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi, Godfrey Isaya. Wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo Simon alidai, Upelelezi haujakamilika hivyo …

Read More »