Tag Archives: Morogoro

Basi Lapinduka Morogoro….9 Wajeruhiwa

Watu 9 wamejeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria la kampuni Kidinilo kuacha njia jana  Alhamisi Januari 9, 2020 na kupinduka eneo la Mangae barabara ya Morogoro Iringa huku chanzo kikitajwa ni uzembe na mwendokasi. Basi lililokuwa kilitokea Ifakara kwenda Dar es Salaam lilikuwa na abiria 68  kwamba majeruhi watatu hali …

Read More »