Tag Archives: Mmoja kizimbani Kisutu hasara ya Mil 48 kwa TRA

Mmoja kizimbani Kisutu hasara ya Mil 48 kwa TRA

Mtu mmoja amefikishwa mbele ya mahakama ya hakimu mkazi kisutu akikabiliwa na makosa manne ikiwemo ya uhujumu uchumi kwa kuisababishia hasara mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) ya shilingi milioni 48. Geoffrey Kilimba, amesomewa mashitaka hayo mbele ya hakimu mkazi mfawidhi Godfrey kusaya na wakili wa serikali Mkuu, Paul kadushi, pamoja …

Read More »