Tag Archives: Mloganzila Yaanzisha Rasmi Huduma Za Kuvunja Mawe Kwenye Figo

Mloganzila Yaanzisha Rasmi Huduma Za Kuvunja Mawe Kwenye Figo

Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila imeanza kutoa huduma ya matibabu ya kuvunja mawe kwenye figo na mfumo wa mkojo kwa njia ya mawimbi mshituko kwa kitaalam Extracorporeal shock wave lithotripsy (ESWL). Kuanzishwa kwa matibabu haya ni mwendelezo wa kutekeleza juhudi za Serikali za kuboresha huduma bobezi za kibingwa nchini ili kuongeza …

Read More »