Tag Archives: Mkuu wa WHO yuko karantini

Mkuu wa WHO yuko karantini

Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) ameanza kujitenga baada ya kukutana na mtu aliyebainika kupata maambukizi ya virusi vya corona. Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema yeye binafsi hakuwa na dalili za corona. “Mtu niliyekutana naye hivi karibuni amebainika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona. Niko sawa kuwa sina dalili …

Read More »