Tag Archives: Mkurugenzi wa NEC awaagiza wasimamizi wa uchaguzi kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria

Mkurugenzi wa NEC awaagiza wasimamizi wa uchaguzi kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria

Mkurugenzi wa Uchaguzi Dkt.Wilson Charles amewaagiza wasimamizi wa Uchaguzi ngazi ya majimbo kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria ili kuepuka malalamiko yanayoweza kusababisha uvunjifu wa amani. Dkt.Charles ametoa agizo hilo wakati anafungua mafunzo ya uchaguzi kwa wasimamizi wa uchaguzi wa majimbo Kanda ya Ruvuma yenye mikoa ya Njombe, Ruvuma,Mtwara,Lindi,Iringa na …

Read More »