Tag Archives: Miundombinu Ya Shule

Waziri Mkuu Aagiza Miundombinu Ya Shule Ikamilike Mapema….Asema Kama kuna wahusika walioko likizo warudishwe haraka

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema miradi yote ya ujenzi wa miundombinu ya shule ikamilike mapema na kama kuna watendaji walioko likizo warudi kwani Serikali inataka wanafunzi wote waanze masomo pamoja. Ameyasema hayo jana (Jumanne, Desemba 31, 2019) wakati alipofanya ziara kukagua ujenzi wa miradi mbalimbali ya maendeleoa wilayani Ruangwa. Amesisitiza …

Read More »