Tag Archives: miundo mbinu

Serikali wilayani kahama, imeridhishwa na juhudi za halmaushauri ya mji katika kuboresha miundo mbinu ya Shule.

Serikali wilayani Kahama mkoani Shinyanga imesema imeridhishwa na juhudi zinazofanywa na halmashauri ya mji wa Kahama katika kuboresha  miundombinu ya shule mpya ya Msingi Mayila iliyofunguliwa  mwaka huu  baada ya rais John Magufuli kuagiza ifunguliwa. Akizungumza  baada ya kutembelea shuleni hapo, Mkuu  wa wilaya hiyo ANAMRINGI MACHA amesema   kasi ya …

Read More »