Tag Archives: mitaro

Miundo mbinu ya mitaro soko la namanga kahama kero kwa wateja

Katika kukabiliana na ubovu wa miundombinu katika soko la Namanga mjini Kahama  halmashauri ya Mji huo imeshauriwa kujenga mitaro  katika kingo za barabara zinayozunguka soko hilo ili kuyadhibiti maji yanayopita katika barabara hizo na kuharibu miundombinu hiyo. Hayo yamesemwa  mjini Kahama na baadhi ya wananchi waliozungumza na Kahama fm kuhusu …

Read More »

Serikali wilayani kahama kuwachukulia hatua kali wasiosafisha mitaro

Serikali wilayani Kahama mkoani Shinyanga imesema itaanza  kuwachukulia hatua za kisheria  wananachi watakaoshindwa kusafisha mitaro  inayopitisha maji katika barabara zote za mitaa kwa kuwa uchufu unaorundikana unasabanisha kuharibu miundombinu ya barabara. Kauli hiyo imetolewa  Jana na mkuu wa wilaya ya  Kahama Anamringi Macha wakati akikagua mitaro iliyohaririwa kwa mvua, katika …

Read More »