Tag Archives: Misiba

Wasioshiriki Misiba kucharazwa Viboko.

Wakazi wa Kata ya Mwangata, Manispaa ya Iringa wamepongeza uamuzi wa Diwani wa Kata ya Mwangata, Edward Nguvu kutaka watu wasiohudhuria misibani wacharazwe viboko ili iwe fundisho kwa wengine. Akizungumza na Majira kwa niaba ya wananchi wenzake, mmoja wa wananchi hao amesema hivi sasa kumekuwa na tabia ya waombolezaji kwenye …

Read More »