Tag Archives: mipaka yafungwa

Rais wa Belarus aliweka jeshi katika tahadhari,mipaka yafungwa

Belarus imesema imefunga mipaka yake na nchi za Umoja wa Ulaya. Lakini maafisa wa Poland wameielezea hatua hiyo kuwa ni “sehemu nyingine ya kampeni ya propaganda,” wakisema hali ya mpakani haijabadilika Rais wa Belarus Alexander Lukashenko ametangaza kuwa ameliweka jeshi katika tahadhari kubwa na kufunga mipaka ya nchi hiyo na …

Read More »