Tag Archives: mimba na ndoa za utotoni

Mikataba Kuwa Suluhisho La Mimba Na Ndoa Za Utoto Shinyanga

Baada ya kukithiri kwa matukio ya wanafunzi kupata mimba na uwepo wa ndoa za watoto chini ya umri wa miaka 18 mkoani Shinyanga, hatimaye serikali imeamua kutoa fomu maalum ambazo zitasaidia kuzihakiki ndoa zote zinazotarajiwakufungwa. Hayo yamebainishwa juzi na Ofisa maendeleo ya jamii wa mkoa wa Shinyanga, Tedson Ngwale katika …

Read More »