Tag Archives: MGODINI

Biteko Ang’aka Kuhusu Mishahara ya Watanzania Migodini

Waziri wa Madini Doto Biteko pamoja na kuupongeza uongozi wa mgodi wa dhahabu wa Geita “GGM” katika  mambo mengi leo tarehe 16/11/2019 alikuwa “mbogo” kwa uongozi huo kuhusu suala la mishahara wanayolipwa Watanzania ambapo amebaini kutokuwepo kwa usawa. Biteko amesema anaumizwa sana na jambo la malipo ya mishahara kati ya …

Read More »