Mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwaka ulioishia mwezi novemba 2019 umeongezeka hadi asilimia 3.8 kutoka asilimia 3.6 kwa mwaka ulioishia mwezi oktoba 2019. Hayo yamebainishwa na kaimu mkurugenzi sensa ya watu na takwimu za jamii ofisi ya taifa ya takwimu, Ruth Davison Minja ambapo amesema kuwa kasi ya mabadiliko …
Read More »Tag Archives: Mfumuko wa bei
Mfumuko Wa Bei Wa Taifa Waongezeka Hadi Asilimia 3.6 % Kutoka Asilimia 3.4
Mfumuko wa bei wa Taifa kwa kipimo cha mwaka unaoishia mwezi Oktoba 2019 umeongezeka hadi asilimia 3.6 kutoka asilimia 3.4 mwaka ulioishia mwezi Septemba 2019 ikiwa ni ongezeko la asilimia 0.2. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kutangaza takwimu za bei, Kaimu Mkurugenzi wa Takwimu za Jamii na Sensa …
Read More »