Tag Archives: Mfalme Qaboos Bin Said Al-Said

Waislamu wa Ki-ibadhi Kahama kwa Kushirikiana na Waislamu wa Madhehebu ya Ki-Sunni waungana kumuombea Mfalme Qaboos Bin Said Al-Said.

WAUMINI wa dini ya Kislamu Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga,wamemuomba Mfalme aliyepo sasa wa nchi ya Omani Mfalme Haitham Bin Tarik Taimur Al-Said kufuata nyazo za kuzisadia nchi za afrika kama alivyokuwa akifanya mfalme aliyetangulia Qaboos Bin Said Al-Said.   Wito huo ulitolewa jana na Shekhe wa Wilaya Omari Damka katika …

Read More »