Tag Archives: mexicco

Wafungwa 7 wafariki katika ghasia zilizozuka katika gereza nchini Mexico

Wafungwa  7 wafariki na wengine  9 wajeruhiwa katika ghasia zilizotokea katika gereza moja nchini Mexico. Ghasia zilizotokea katika gereza moja nchini Mexico zimepelekea wafungwa  7 kufariki na wengine  9 wamejeruhiwa vikali. GHasia hizo zimetokea katika gereza  lenye ulinzi mkali  katika jimbo la Puente Grande. Kulingana na taarifa zilizotolewa na  vyombo …

Read More »