Tag Archives: Mbunge wa CHADEMA atoa ushauri kwa viongozi wake

Mbunge wa CHADEMA atoa ushauri kwa viongozi wake

Mbunge mteule wa jimbo la Nkasi Kaskazini, kupitia CHADEMA, Aida Khenani, amewataka viongozi wa chama chake kufuata sheria kama kuna maeneo wameona kuna dosari, lakini kwa upande wake hawezi kususia matokeo wala kukataa kuapishwa kwa ajili ya heshima ya wananchi wake waliomchagua. Kauli hiyo ameitoa hii leo Novemba 9, 2020, …

Read More »