Tag Archives: Mbowe Atangaza Mikutano ya Hadhara Nchi Nzima

Mbowe Atangaza Mikutano ya Hadhara Nchi Nzima

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema kuwa kuanzia Aprili 4, 2020, chama hicho kitaanza rasmi kufanya mikutano ya hadhara yenye malengo mawili kudai tume huru na maandalizi ya Uchaguzi Mkuu. Akizungumza na wana habari jana jijini Dar es Salaam, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe, …

Read More »