Tag Archives: mbowe

CHADEMA Wataja Maendeleo Ya Freeman Mbowe

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimesema kuwa Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe anaendelea kupata uangalizi wa ziada chini ya Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Aga Khan, baada ya kufanyiwa uchunguzi na matibabu ya ziada tangu alipofikishwa hospitalini hapo. Taarifa hiyo ya chama imetolewa na Mkuu wa Idara …

Read More »

Mbowe aendelea kupatiwa matibabu baada ya kuvamiwa na kujeruhiwa

Mwenyekiti Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe anaendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya DCMC Ntyuka iliyopo mkoani Dodoma baada ya kuvamiwa na kujeruhiwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo. Habari kutoka jijini Dodoma zinaeleza kuwa Mbowe ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, amepata …

Read More »

Mbowe Ampongeza Rais Magufuli….Aomba Nafasi ya Maridhiano

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amempongeza Rais John Magufuli kutokana na juhudi mbalimbali anazozifanya katika kuliongoza taifa. Akizungumza katika maadhimisho ya sherehe za miaka 58 ya uhuru wa Tanzania bara yaliyofanyika kitaifa jijini Mwanza, katika Uwanja wa CCM Kirumba, Mbowe amesema kuna ulazima wa kuwepo …

Read More »

Freeman Mbowe Alazwa Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam

Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Freeman Mbowe, ameshindwa kufika mahakamani kutokana na kulazwa katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es salaam akiwa anapatiwa matibabu. Mbowe aliyelazwa  tangu  Novemba 17, 2019b ni miongoni mwa viongozi tisa wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi namba 112/2018 inayoendelea leo Jumanne …

Read More »