Tag Archives: MBOGWE

Dc Mbogwe akerwa na watendaji wanaokwamisha Miradi ya Maendeleo.

SERIKALI Wilayani Mbogwe Mkoani Geita imewataka watendaji wa halmashauri hiyo pamoja na viongozi wengine katika chama kutowakatisha tamaa wananchi wenye wanaojitolea nguvu zao katika zoezi la utekelezaji wa shughuli za maendeleo. Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe Martha Mkupasi aliyasema hayo juzi wakati akizungumza na kamati ya shule ya msingi Kanegere …

Read More »

Maafisa ushirika nchini waonywa kuwadidimiza wakulima

Serikali imewataka maafisa ushirika  katika halmashauri zote nchini kusimamia kikamilifu   vyama vya Msingi kwa kutoa ushauri wenye tija badala ya kuwadidimiza wakulima na kusababisha  hasara kubwa kwa wakulima na serikali kwa ujumla. Kauli hiyo imetolewa jana na mwenyekiti wa tume ya maendeleo ya ushirika nchini (TCDS) Dokta. Titus  Kamani kwenye …

Read More »