Tag Archives: Mbeya City yamtupia virago Amry Said

Mbeya City yamtupia virago Amry Said

Klabu ya Mbeya City imetangaza kusitisha rasmi mkataba wa kazi na mwalimu Amry Said Juma kama kocha mkuu wa timu hiyo yenye maskani yake jijini Mbeya. Katibu Mkuu wa Klabu hiyo Emmanuel Kimbe amesema maamuzi hayo yamefikiwa baina ya pande mbili baada ya majadiliano kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu …

Read More »