Tag Archives: Mbeya City wamfukuza kazi kocha Amri Said

Mbeya City wamfukuza kazi kocha Amri Said

  Club ya Mbeya City ya Mbeya mara baada ta kupoteza mchezo wake wa leo 2-1 dhidi ya Mwadui FC mkoani Shinyanga imemfuta kazi rasmi kocha wao Mkuu Amri Said. Mbeya City hadi wanafikia uamuzi huo usiku huu wapo nafasi ya mwisho katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania bara msimu …

Read More »