Tag Archives: mbatia

Mbatia avishauri vyama vya siasa kusitisha mikutano ya hadhara

Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi,-James Mbatia amevishauri vyama vya siasa nchini kusitisha mipango ya kuendesha mikutano ya hadhara, ili kupunguza tishio la kusambaa kwa virusi vya corona. Mbatia ametoa ushauri huo jijini Dar es salaam, ikiwa ni siku moja baada ya serikali  kutangaza rasmi kuingia kwa virusi hivyo nchini. “Kuhusu …

Read More »