Tag Archives: Mbao Kuinua Uchumi

Tundu Lissu Kutumia Zao la Chai, Mbao Kuinua Uchumi

Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amesema kutokana na utajiri mkubwa uliopo katika mkoa wa Iringa unaotokana na mbao na chai, ulitakiwa uwe kitovu cha viwanda vya kutengeneza samani katika nchi za Afrika Mashariki na Kati. Alisema akichagulia kuwa rais, …

Read More »