Tag Archives: mazingira

Serikali Kuimarisha Huduma Ya Usafi Wa Mazingira

Serikali imeweka mpango wa kuhakikisha huduma ya uondoshaji wa majitaka kwenye makazi katika Miji na Makao Makuu ya Mikoa inafikia asilimia 30 ifikapo Mwaka 2025. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Kemikimba amebainisha hayo Oktoba 7, 2020 Jijini Mwanza wakati akifunga Mafunzo ya Bodi za Wakurugenzi na Menejimenti …

Read More »

Wananchi wakumbushwa kutunza mazingira

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imewakumbusha wananchi wajibu wao katika kutunza na kuhifadhi Mazingira kwani ustawi wa viumbe hai ikiwemo binadamu unategemea mazingira mazuri. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na kusainiwa na  Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Mathew Pauwa Mhina  Mwaimu katika …

Read More »

Simbachawene Afuta Leseni Za Kampuni Zilizofanya Udanganyifu

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene ameagiza waliobainika kusafirisha vyuma chakavu ambavyo ni miundombinu ya majitaka na maji safi wachunguzwe kujua walikovitoa ili hatua za kisheria zichukuliwe dhidi yao. Pia ametahadharisha kuwa yeyote atakayekutwa amebeba, kuhifadhi, kuuza au kusafirisha vyuma …

Read More »