Tag Archives: Mauwaji

Watu Sita wauawa kwa risasi Mtwara

Watu sita wameuawa katika kijiji cha Ngongo Wilaya ya Tandahimba mkoani¬† Mtwara na wengine saba kujeruhiwa katika mpaka wa Tanzania na Msumbiji baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia jana Jumanne Novemba 12, 2019. Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Boaz amesema Watanzania sita walipigwa risasi na …

Read More »