Tag Archives: Mauaji

7 Watiwa Mbaroni Kwa Kuwaua Kwa Mapanga Wanandoa Wawili

Watu saba wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Kagera, wakituhumiwa kuwaua wanandoa wawili kwa kuwakata sehemu mbalimbali za miili yao, chanzo kikidaiwa kuwa ni mgogoro wa ardhi. Kamanda wa Polisi mkoani Kagera, Revocatus Malimi, aliwaambia waandishi wa habari jana kuwa tukio hilo lilitokea Januari 14 mwaka huu saa saba usiku …

Read More »

Polisi wamsaka mwimba injili akidaiwa kumuua mkewe kwa shoka

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha nchini Tanzania linamtafuta Moses Pallangyo akidaiwa kumuua kwa kumkata shoka mkewe Marry Richard Mushi mkazi wa kijiji cha Kilinga wilayani Arumeru mkoani humo. Kamanda wa polisi mkoa Arusha, Jonathan Shana amesema tukio hilo limetokea leo Jumatano Desemba 25, 2019 mchana kutokana na ugomvi wa …

Read More »

Mwanamke Atuhumiwa Kumchinja Mwanae na Kumla Nyama Ludewa

Mwanamke mmoja anaejulikana kwa jina la Christina Mlelwa(38) mkazi wa Kijiji cha Mavanga kata ya Mavanga kitongoji Cha mji mwema wilayani Ludewa mkoa wa Njombe anashikilikiwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kumchinja mwanae Joseph Gumbilo(4) mwenye ulemavu wa viungo na kumla nyama Awali akizungumzia tukio hilo mkuu wa …

Read More »