Tag Archives: Matiko ajinadi kwa kutoa elimu ya mpiga kura

Matiko ajinadi kwa kutoa elimu ya mpiga kura

Mgombea ubunge jimbo la Tarime mjini kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA),Esther Matiko amewataka wapiga kura wenye sifa ya kupiga kujitokeza kwa wingi siku ya 10,28,2020.,ambayo ilipangwa na Tume ya Taifa ya uchaguzi kuwa siku ya kupiga kura. Matiko alisema jana kwenye mkutano wa kampeni uliofanyikia viwanja …

Read More »