Tag Archives: MASHABIKI RUKSA KUWAONA STARS KWA MKAPA

MASHABIKI RUKSA KUWAONA STARS KWA MKAPA

RASMI sasa mashabiki wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wataruhusiwa kushuhudia mtanange kati ya Stars dhidi ya Tunisia ambao ni kwa ajili ya kuwania kufuzu michuano ya Afcon 2021 nchini Cameroon. Stars ambayo ipo kundi J itaaendelea kusaka ushindi kwenye mchezo dhidi ya Tunisia Novemba 13 ikiwa ugenini …

Read More »