Tag Archives: masauni

Serikali Kudhibiti Wahamiaji Haramu Wanaotumia Njia Za Treni

Serikali imeapa kudhibiti wimbi la wahamiaji haramu wanaosafiri kwenda mikoa mbalimbali  nchini kwa kutumia usafiri wa treni huku ikiwataka wananchi kuacha tabia ya kuwahifadhi na kuwasafirisha wahamiaji hao kwani kufanya hivyo ni kinyume cha  sheria. Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Mhandisi Hamad Masauni, mkoani …

Read More »