Tag Archives: marufuku

Makonda apigwa marufuku kuingia Marekani

Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imemwekea vikwazo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda kwa madai ya kuhusika katika uvunjifu kamili wa haki za binadamu na tuhuma nyingine. Pia vikwazo hivyo amewekewa mke wake Makonda, Mary Felix Massenge. Taarifa iliotolewa Ijumaa na wizara ya mambo …

Read More »