Tag Archives: marekani

Marekani yaionya Iran dhidi ya kuwashambulia raia wake

Rais wa Marekani Donald Trump ameionya Iran dhidi ya kuwauwa raia wake wanaoandamana kuipinga serikali baada ya kukiri kwamba iliidungua ndege ya abiria ya Ukraine. Haya yamejiri wakati ambapo waziri wa ulinzi wa Marekani Mark Esper amesema milango iko wazi kwa Iran kufanya mazungumzo na Marekani bila masharti yoyote. Ujumbe …

Read More »

Marekani iko ‘tayari kufanya mazungumzo’ na Tehran

Katika waraka wake kwa Umoja wa Mataifa, Marekani ilijitetea kuwa ilimuua jenerali wa jeshi la Iran Qasem Soleimani kama hatua ya kujilinda Iran ilijibu hatua hiyo kwa kushambulia kwa makombora kambi ya majeshi ya Marekani nchini Iraq japo hakuna mtu aliyejeruhiwa. Jenerali Soleimani ilichukuliwa kuwa afisa wa pili wa ngazi …

Read More »

Trump kutoa tamko dhidi ya shambulizi la iran

Kambi mbili za Jeshi la Marekani nchini Iraq zimeshambuliwa kwa makombora kadhaa huku Television ya kitaifa ya Iran ikitangaza kuwa shambulio hilo ni la kulipiza kisasi kufuatia mauaji ya Qassem Soleimani aliyeuawa na Marekani katika shambulio la Drones Iraq. Rais Donald Trump amethibitisha kutokea kwa shambulio hilo katika mbi zao …

Read More »

Majeshi ya Marekani yalengwa kwa makombora

Runinga ya kitaifa ya Iran imetangaza kuwa shambulio hilo ni la kulipiza kisasi mauaji ya kamanda mkuu Qasem Soleimani aliyeuawa katika shambulio la ndege isiyokuwa na rubani mjini Baghdad, kufuatia agizo la rais wa Marekani Donald Trump. Pentagon inasema kuwa karibu kambi mbili zilishambuliwa, mjini Irbil na Al Asad. Bado …

Read More »