Tag Archives: mangula

Mangula: Ni marufuku kwa mwanachama anayetarajia kugombea,kutoa misaada wakati uchaguzi unapokaribia

Makamu mwenyekiti wa CCM Tanzania bara Mh.Philip Mangula amewakumbushu wanachama wa chama hicho nchini,marufuku iliyopo kwenye katiba kwa mwanachama yeyote anayetarajia kugombea au wakala wake kutoa misaada mbali mbali wakati uchaguzi unapokaribia. Philip Mangula ametoa marufuku hiyo mkoani Njombe wakati wa kikao cha halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi CCM …

Read More »