Tag Archives: Man United waiadhibu tena PSG nyumbani

Man United waiadhibu tena PSG nyumbani

  Man United leo wamevuna point tatu kutokea jiji la Paris Ufaransa baada ya kuwafunga wenyeji wa PSG katika ardhi ya kwao katika uwanja wa Parc de prince. Kwenye mchezo huo licha ya Anthony Martial kujifunga na kuwafanya PSG wawe wamesawazisha dakika ya 55, Man United wameibuka kidedea kwa ushindi …

Read More »