Tag Archives: malima

Hati safi Halmashauri ya Mji wa Bunda yamkosha Malima

Mkuu wa Mkoa wa Mara ameipongeza Halmashauri ya Mji wa Bunda kwa kupata hati safi kwa kipindi cha miaka mitatu kuanzia mwaka wa fedha 2016/2017. Akizungumza hivi karibuni wakati  wa uwasilishaji wa hoja za Mkaguzi na Mdhibiti  Mkuu wa  Hesabu za Selikali kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019, Mkuu wa mkoa …

Read More »