Tag Archives: mali

Watu 12 wauawa katika shambulizi Mali

Karibu watu 12 wameuawa katika shambulizi lililofanywa kwenye vijiji kadhaa vya katikati ya Mali, ikiwa ni machafuko ya karibuni kabisa kuikumba nchi hiyo iliyoharibiwa kwa vita. Watu wenye silaha waliokuwa kwenye pikipiki walivamia vijiji kadhaa karibu na mji wa Bandiagara katika jimbo la katikati ya Mali la Mopti, kwa mujibu …

Read More »