Tag Archives: makombora

Marekani Yaondoa Mifumo Yake Ya Makombora Saud Arabia

Marekani imeanza kuondoa katika ardhi ya Saudi Arabia mifumo yake ya makombora ya Patriot na zana zingine za kijeshi, ikiwa ni sehemu ya mkakati mpana wa kupunguza uungaji mkono wake wa kijeshi kwa utawala huo wa kifalme. Katika ripoti ya jana Alhamisi, jarida la The Wall Street Journal lilinukuu maafisa …

Read More »