Tag Archives: makaburi

Mke azika mwili wa mumewe mara mbili.

Mwanamke mmoja Afrika Kusini amelazimika kufanya mazishi ya mume wake mara mbili aliyekufa kwa ugonjwa wa Covid-19 baada ya kubainika kwamba mwili wake ulitambuliwa makosa. “Walikataa kuniruhusu nione mwili wa mpendwa wangu katika chumba cha kuhifadhia maiti kwasababu ya kanuni za kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19. Sasa nimemzika mtu mwingine.” …

Read More »