Tag Archives: Maji

Wizara Ya Maji Yatekeleza Ahadi Ya Rais Magufuli Mbalizi

KATIBU Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga ameipongeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (Mbeya UWASA) kwa kutekeleza kwa haraka agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli la kuwafikishia huduma ya majisafi wananchi wa mji mdogo wa Mbalizi Wilayani Mbeya. Ametoa …

Read More »

Waziri Mbarawa Afuta Mamlaka Za Maji 36

Katibu mkuu wizara ya Maji Profesa Kilila Mkumbo,amesema serikali imefuta mamlaka za maji safi na usafi wa mazingira 36 na sasa zitahudumiwa na mamlaka za makao makuu ya mikoa 25, zilizoundwa na kuongezewa majukumu ya utoaji huduma katika maeneo yake Hayo ameyasema jana jijini Dodoma wakati alipokuwa akitoa taarifa ya …

Read More »