Tag Archives: majambazi

Watu 7 Wanaodhaniwa Kuwa Majambazi Wauawa Dar es Salaam

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwaua majambazi saba na kufanikiwa kukamata silaha ndogo Bastola aina ya BERETA ikiwa na risasi tatu ndani ya kasha (magazine) na silaha za jadi. Mnamo tarehe 25.05.2020 majira ya saa sita na dakika kumi usiku huko maeneo ya Mwenge Coca …

Read More »