Tag Archives: Majaliwa: Tujitafakari Tunataka Kiongozi Wa Aina Gani

Majaliwa: Tujitafakari Tunataka Kiongozi Wa Aina Gani

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa Singida watafakari ni aina gani ya kiongozi wanamtaka aiongoze nchi hii. Ametoa wito huo leo (Jumanne, Septemba 15, 2020) wakati akizungumza na wananchi waliohudhuria mkutano wa kuwanadi wagombea …

Read More »