Tag Archives: Majaliwa: Tarehe 28 Oktoba Siyo Siku Ya Mzaha

Majaliwa: Tarehe 28 Oktoba Siyo Siku Ya Mzaha

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amemaliza ziara yake mkoa wa Mara na kuwaeleza wananchi kwamba tarehe 28 Oktoba, 2020 siyo siku ya mzaha. “Tarehe 28 Oktoba, 2020 siyo siyo ya mzaha na wala siyo siku ya majaribio. Ni siku …

Read More »