Tag Archives: Majaliwa: Sh. Bilioni 5.26 Zanunua Dawa Lindi

Majaliwa: Sh. Bilioni 5.26 Zanunua Dawa Lindi

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema katika kipindi cha miaka mitano, Serikali imetumia sh. bilioni 5.26 kwa ajili ya ununuzi wa dawa kwenye Manispaa ya Lindi. “Serikali imetoa shilingi bilioni 5.26 ambapo kati ya hizo, shilingi bilioni 4 zilikuwa …

Read More »