Tag Archives: Majaliwa: Leteni Mtu Anayetoka Chama Makini

Majaliwa: Leteni Mtu Anayetoka Chama Makini

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa jimbo la Mchinga wawachague viongozi wanaotoka chama makini cha CCM. Ametoa kauli hiyo leo (Jumamosi, Oktoba 24, 2020) wakati akizungumza na wakazi wa kata za Milola na Rutamba, Manispaa ya Lindi …

Read More »