Tag Archives: Majaliwa

Kilindi Kujengewa Hospitali Ya Wilaya-Majaliwa

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema Serikali imepanga kujenga hospitali za halmashauri 98 ikiwemo na ya halmashauri ya wilaya ya Kilindi katika awamu ya pili ya ujenzi wa hospitali hizo ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2020-2025. …

Read More »

Majaliwa: Tunataka Kiongozi Atakayepambana Na Rushwa

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema Tanzania inahitaji kuwa na kiongozi anayeweza kuunda Serikali na mwenye uwezo wa kupambana na rushwa na mafisadi ambao wanasababisha nchi kukosa maendeleo. Mheshimiwa Majaliwa amesema kiongozi huyo ni lazima awe na uwezo wa …

Read More »