Tag Archives: Mahakama Yaipa Serikali Siku 7 Kesi Ya Tundu Lissu

Mahakama Yaipa Serikali Siku 7 Kesi Ya Tundu Lissu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, inatarajia kuanza kusikiliza maombi ya wadhamini wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ambao wanataka mshtakiwa huyo akamatwe ili wajitoe udhamini. Maombi hayo namba 2/2020 yalikuja jana mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba ambapo upande wa Jamhuri uliomba kuongezewa muda …

Read More »